Mzigo wako uko wapi?
Weka namba ya kumbukumbu iliyo kwenye SMS au risiti yako, tukuonyeshe mzigo ulipo.
- Dodoma
- Manyoni
- Singida
- Shelui
- Igunga
- Nzega
- Shinyanga
- Mwanza
Jinsi inavyofanya kazi
Pata namba ya kumbukumbu
Iko kwenye SMS uliyopokea wakati mzigo uliposajiliwa, na kwenye risiti yako.
Ona mzigo ulipo
Utaona kama umesajiliwa, uko safarini, umefika au umekabidhiwa. Mzigo ukifika, mpokeaji hutumiwa SMS.
Maelezo kamili
Mtumaji au mpokeaji anaweza kuona maelezo kamili kwa kuthibitisha namba atakayotumiwa kwa SMS.
Unahitaji msaada kuhusu mzigo? Wasiliana nasi
Tunakokwenda
Kila njia ni kwenda na kurudi. Mzigo wako husafiri kwa mabasi hayo hayo.
Piga simu ofisini
Gusa namba ya ofisi iliyo karibu nawe.
Unasafiri nasi?
Kwa tiketi za abiria, tumia njia rasmi za SATCO Express za kukata tiketi au piga simu ofisi zetu.